Prem Rawat anazungumzia amani ya ndani. Tangu akiwa mtoto mdogo, amekuwa akiwaeleza watu kuhusu uwezekano wa kupata utoshelevu wa ndani katika maisha haya. Ujumbe wake hauhusiani na rangi, dini au utamaduni fulani. Anawakumbusha tu watu kuhusu kiu yao ya asili iliyo ndani yao, na chemchemi ya amani iliyo ndani yao inayoweza kukata kiu hiyo. Zaidi ya maneno na mawazo pekee, Prem Rawat huwapa watu njia zinazoweza kugeuza uwezekano huu kuwa jambo halisi. Kwa maelezo zaidi kuhusu mafundisho ya Prem, tembelea ukurasa wetu wa viungo au ukurasa wa maelezo zaidi.
Viungo vifuatavyo vinakupeleka kwenye nukuu kutoka kwenye mihadhara ya Prem Rawat aliyoitoa katika mikutano ya wazi duniani kote. Furahia!
ORODHA 1
ORODHA 2